У нас вы можете посмотреть бесплатно Uchambuzi: Uchaguzi Tanzania wakumbwa na Maandamano ya Gen-Z | DW Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tanzania imejipata kwenye njia panda baada ya uchaguzi mkuu kukumbwa na maandamano. Ghadhabu ya waandamanaji imeshuhudiwa kupitia maandamano ya vurugu na uharibifu wa mali huku watu wawili wakidaiwa kuuawa. Idadi ndogo ya wapiga kura ndiyo imejitokeza kwenye uchaguzi huo ambao Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushinda. Je, taifa hilo la Afrika Mashariki ambalo hujulikana kuwa tulivu limeteleza wapi kwenye uchaguzi huu? Mjadala wetu studioni unaangazia uchaguzi huo kwa ujumla wake. #dwhabarimotomoto #dwkiswahili #dwswahili #uchaguzitanzania2025 #tanzaniayaamua