У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge ataka wabunge wasiliopwe posho na mshahara или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala amependekeza kwa Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amependekeza wabunge kutolipwa posho zao za vikao na mishahara ya mwezi huu ili waonje uchungu wanaokutana nao Watanzania ambao hawajalipwa mafao yao ya kustaafu. Wameyasema hayo leo Jumamosi Novemba 4, 2023 wakati wakichangia taarifa za kamati za Bunge za kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka ulioishia Juni 30, 2022. Taarifa hizo ni za kamati za kudumu za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC), Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) na Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC).