У нас вы можете посмотреть бесплатно KATA YA BWANGA YAANZISHA KLINIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wilaya ya Chato Mkoani Geita imeanzisha chumba maalumu cha kliniki ya magonjwa yasiyoambukiza kwenye kituo Cha Afya Bwanga kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo kukabiliwa na magonjwa hayo hususani kisukari na shinikizo la juu la damu. Mratibu wa Magonjwa yasiyoambukiza wilayani Chato Dkt Alexander Mpondaguzi amesema kuanzishwa kwa kliniki hiyo kumechagizwa na kampeni mbalimbali zinazofanywa na Chama Cha Ugonjwa wa Kisukari Tanzania kila mwaka kwenye eneo hilo huku takwimu za mwaka jana kwenye Kata hiyo idadi ya watu waliopimwa walikuwa zaidi ya 500 waliobainika kuwa na kisukari ni asilimia 7.6 na shinikizo la juu la damu ni 39.7.