У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHENGE: TUMIENI STAKABADHI GHALANI KUMLINDA MKULIMA WA UFUTA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Halmashauri za Mkoa wa Dodoma zimetakiwa kutumia mfumo wa Stakabadhi ghalani katika bidhaa ya ufuta ili kulinda maslahi ya mkulima. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge akiwa katika ziara ya kikazi katika wilayani Kondoa kujionea mnada ulioendeshwa kwa ajili ya kuuza ufuta kwa kutumia Stakabadhi Ghalani . Dkt. Mahenge amesema kuwa kila uongozi wa halmashauri mkoani Dodoma unatakiwa kuhakikisha unadhibiti vema mfumo huu kufanya kazi ili kudhibiti ubora wa ufuta .