У нас вы можете посмотреть бесплатно Wakulima wa Ufuta wafurahia mfumo wa stakabadhi ghalani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jumla ya tani 2,400 za ufuta zilizokusanywa katika maghala matatu chini ya Chama Kikuu cha Lindi Mwambao mkoani Lindi zimeuzwa kwa wanunuzi mapema leo, Jumamosi ikiwa ni mnada wa kwanza tangu kuanzishwa kwa mfumo mpya wa stakabadhi ghalani. Baada ya mnada huo wanunuzi walitakiwa kulipa fedha hizo ndani ya siku mbili za kazi huku pia wakitakiwa kutoa mzigo kwenye maghala ndani ya siku saba (7) na iwapo watashindwa kufanya hivyo baada ya hapo faini ya shilingi mbili itaanza kutozwa kwa kila kilo. Mwandishi wetu wa mkoani Lindi, Muhammad Nyaulingo alishuhudia mnada huo. #Lindi #Kilimo #kilimochaufuta Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz