У нас вы можете посмотреть бесплатно Mfumo mpya wa leseni za madereva kuwabaini wanaotoroka baada ya ajali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Madereva wanaofanya makosa ya usalama barabarani na kisha kutorokea maeneo mengine ikiwemo nchi jirani wameonywa kuacha tabia hiyo kwa kuwa wanabainika kwa urahisi kupitia mfumo wa sasa unaomtambua dereva aliyepata mafunzo ya darasani kupitia leseni yake. Kamanda wa polisi mkoani Mbeya ACP Benjamin Kuzaga ndiye ametoa onyo hilo wakati akihimitisha mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva 82 kutoka taasisi za umma na binafsi yaliyofanyika kwenye chuo cha udereva KPC wilayani Kyela. (Imeandaliwa na Kakuru Msimu na kuhaririwa na Tuya Ibrahim)