У нас вы можете посмотреть бесплатно HUU HAPA MFUMO MPYA WA LESENI ZA UDEREVA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama #Barabarani Mkoa wa Arusha unaendelea kudhibiti ajali zinazosababishwa na madereva wasio na sifa na wasio fuata sheria limeungana na Mamlaka ya Mapato Tanzania kutoa elimu kwa shule za udereva Mkoani humo huku likitoa ufafanuzi na elimu juu ya mfumo mpya wa leseni za Udereva. Akiongea na wamiliki na walimu wa shule za udereva Mkoani #Arusha Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Zauda Mohamed amesema kuwa leo februari 18,20225 wamekutana wamiliki na walimu wa shule za udereva Mkoani humo lengo likiwa ni kutoa elimu, ukaguzi wa vyombo, kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mfumo wa upatikanaji wa leseni. SSP Zauda ameongeza kuwa kutokana na mabadiliko hayo ya mifumo ya tehama katika utoaji wa leseni kikosi hicho kwa kushirikiana na mamlaka ya mapato #Tanzania (TRA) waliona ni vyema kuwaita wamiliki wa shule za udereva ambao ndio wadau wakubwa wa uzalishaji wa madereva bora Mkoani humo ili kuwapa elimu hiyo na mabadiliko ya mfumo huo.