У нас вы можете посмотреть бесплатно KANUNI NANE ZA ULIMAJI KAHAWA, UTATOBOA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAGERA: TAASISI ya Utafiti wa zao la kahawa mkoani Kagera TACRI wametumia maonyesho ya nane nane mwaka 2025 kuwafundishi wakulima wa kahawa Mkoani Kagera Amri nane za kuongeza tija katika zao la kahawa ili kufikia malengo ya kuzalisha Tani 200,000 ifikapo mwaka 2030. Mkurugenzi wa taasisi hiyo Kanda ya Kagera DK. Nyabisi Ngho'ma amesema utafiti uliofanywa kwa wakulima wanaolima zao la kahawa mwaka 2006 kupitia taasisi hiyo ulibaini kuwa kama wakulima watafuata kanuni na Amri hizo mche mmoja unaweza kuzalisha Kahawa safi kilogramu 2.5 Hadi 3.5. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09