У нас вы можете посмотреть бесплатно Pokea Sifa | Joypraise Mhando | Official Audio или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika Kutoka 15 :1-18 , wana wa Israeli waliimba wimbo wa kumshangilia Mungu kwa ushindi walioupata dhidi ya Wamisri. Wimbo huu uliambatana na kusifu na kutoa shukrani kwa Mungu kwa ukuu wake, nguvu za kijeshi na kwa uaminifu wake kwa watu wake. Ukombozi huu ni kielelezo na unabii wa ushindi wa kanisa juu ya shetani na juu ya mpinga Kristo kwa ujumla wakati wa siku hizi za mwisho mathalani tunapotambua nafasi ya Mungu kwa kumsifu. Pokea Sifa ni wimbo maalum wa kumtukuza na kumsifu Mungu kwa yale aliyoyafanya, anayofanya sasa na atakayoyafanya. Unaposikiliza, jikumbushe ni yapi Mungu amekutendea tangu mwaka uanze, hata uhai ulionao unatosha kumsifu Mungu kwa wema wake maishani mwako. Vilevile msifu Mungu kwa sababu atakushindia vita zote zilizombele yako. Katika sifa ndipo Mungu huketi na kwa sababu hii ushindi ni fungu letu. Nakutakia ushindi mwema unapomsifu Mungu nami kwa wimbo huu. Joypraise Mhando.