У нас вы можете посмотреть бесплатно #LIVE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu katika matangazo yetu ya moja kwa moja ya Kongamano la Kitaifa linaloangazia tatizo la kupotea kwa raia nchini Tanzania. Tukio hili muhimu linasimamiwa na Tanganyika Law Society (TLS) kwa lengo la kuzungumzia changamoto hii inayoathiri jamii na haki za binadamu nchini. Katika kongamano hili, wataalamu, wanasheria, wanaharakati wa haki za binadamu, pamoja na waathirika wa matukio haya watatoa maoni yao. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.