У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUU WA WILAYA AMWAGIZA AFISA ARDHI KUUNDA KAMATI YA KUTAFSIRI MIPAKA KUMALIZA MIGOGORO YA MIPAKA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tarehe 02/02/2026, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Meja Edward Flowin Gowele @edward_gowele amemuagiza Maafisa Ardhi na Mipango Miji kuunda kamati itakayohusika na shughuli za kutafsiri mipaka na kuwaonyesha wenyeviti wa kijiji mipaka yao ya utawala ili kuepusha migogoo ya ardhi na muingiliano wa mipaka ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Katika kamati hiyo, Mhe. Gowele ameagiza wananchi wasio na uongozi wowote kwa kuzingatia jinsia kuingizwa ili waweze kuhakikisha mipaka ya vijiji vyao kipindi cha kutafsiri mipaka Vile vile, Mhe. Gowele amewasihi wananchi kufuata taratibu za kisheria za kufuata ardhi. Wenyeviti wa kijiji wameonywa kitendo cha kugawa maeneo ya kijiji bila kuhusisha wananchi na wakazi wa kijiji ambao ndo wenye ardhi