У нас вы можете посмотреть бесплатно E HABARI MARCH 07 2026/SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA SEKTA BINAFSI KUKUZA UCHUMI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAZIRI wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar , amesifu ushirikiano uliopo kati ya Serikali, sekta ya fedha na sekta binafsi katika kujenga uchumi imara wa Taifa. Balozi Omar, ametoa pongezi hizo wakati akihutubia katika tukio la futari maalum iliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa ajili ya wateja wake, katika Hoteli ya Rotana, Jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeweka msisitizo mkubwa katika kujenga uchumi jumuishi, shindani na unaotegemea uzalishaji ambao mafanikio yake yanahitaji ushirikiano wa wadau mbalimbali.Amesema kuwa Sekta ya fedha ina nafasi ya msingi katika maendeleo ya nchi na kwamba uchumi hauwezi kukua bila mfumo wa fedha ulio thabiti, unaoaminika na unaowafikia wananchi wawekezaji na wafanyabiashara kwa wakati.