У нас вы можете посмотреть бесплатно KESI YA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI, MAHAKAMA KUTOA HUKUMU SEPTEMBA 09 MWAKA HUU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#JAMBOTV VIDEO: Septemba 09.2024 Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa hukumu ya shauri lililofunguliwa Mahakamani hapo na wananchi watatu (3) dhidi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) likilenga kupinga Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kusimamiwa na TAMISEMI Kutoka Mahakamani hapo tunakuletea kile kilichojitokeza leo, Jumanne Septemba 03.2024 kuhusiana na shauri hilo. ........... Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►YOUTUBE: / @jambotv908 ►INSTAGRAM: / jambotv ►TWITTER: / jambotv_ ►FACEBOOK: / jambotv ►WEBSITE: https://jambo.tz/