У нас вы можете посмотреть бесплатно Maraga aibua wasiwasi kwa kukithiri kwa ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga ametoa wito kwa vijana kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kitaifa na kujisajili kuwa wapigaji kura ili kuwajibika uongozi wa taifa hili kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Maraga, mwaniaji wa wadhifa wa urais kupitia chama cha United Green Movement (UGM), ambaye alikuwa katika kaunti ya Mombasa, aliibua wasiwasi kwa kile alichokitaja kuwa kukithiri kwa visa vya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma , akionya kuwa, kukosa kushughulikiwa kwa changamoto hizo, kunaweza kuaathiri ustawi wa taifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive