У нас вы можете посмотреть бесплатно Je, ni kweli Othman Masoud hautaki muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Msikilize mwenyewe afunguka! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mheshimiwa Othman Masoud ambaye kisiasa ni Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazelendo Taifa na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika awamu iliyopita ametimiza miaka mitano tangu aingie katika ulingo wa siasa. Alipokea kijiti kutoka kwa mtangulizi wake marehemu Maalim Seif Sharif Hamad mwezi Machi mwaka 2021. Kiongozi hiyo amefanyiwa mahojiano na vyombo vya habari kuhusu miaka mitano ya uongozi na uanasiasa na mojawapo ya hoja iliyojitokeza katika mazungungumzo hayo ni suala la muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Baadhi ya watu wanaitazama misimamo yake kama ni ya kutaka kuitenga Zanzibar na muungano. Mwenyewe anasemaje kuhusu suala hilo? Sikiliza majibu yake katika video hii.