У нас вы можете посмотреть бесплатно 😋😋Je umewahi kula miguu ya kuku na viazi vya kukaangwa vikiwa moto moto? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Biashara ya miguu ya kuku imezidi kushika kasi hasa ukizingatia ni Chakula kinachopendwa sana na familia nyingi nchini Tanzania. Wapo wanaodhani si salama kutokana na chakula hiki kuuzwa zaidi maeneo ya mitaani na pembezoni mwa Barabara, lakini hiyo ni tofauti kwa wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam ambao wao hupendelea kula chakula hiki nyakati za jioni. Mwandishi wa BBC Frank Mavura ametembea moja ya mitaa maarufu kwa uuzaji wa miguu ya kuku na utumbo jijini Dar es Salaam na kutuletea taarifa hii. #miguuyakuku #wanawakewajasiriamali #Tanzania