У нас вы можете посмотреть бесплатно #WASAFIMEDIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanasema bahati humshukia yule aliyetoka na kwenda kutafuta na ndio mana ukaambiwa kwamba #JANUARIHAINAKUFELI #HUUNIMWAKAWAKO Bibi AISHA AZUMARI IYANA mkazi wa MWANAMTOTI MBAGALA yeye ametoka na kwenda kupambana na maisha huku akiwa anaamini kabisa kwamba maisha mazuri yataletwa na juhudi zake mwenyewe na akiamini kabisa kwamba samaki ndio silaha yake kubwa sana ya mafanikio. #WASAFIMEDIA kwa pamoja na Bi.AISHA AZUMARI IYANA wanakuaminisha kwamba hakuna mwezi mgumu wala mwaka mgumu endapo ukiweka juhudi ubunifu kujituma na kutokata tamaa kwani msingi wa mafanikio hujengwa na juhudi zako mwenyewe. @mo_town_sanya Atakua Anakusogezea Karibu Watu Tofauti Wanaofanya Shughuli Mbalimbali Hapa Jijini Dar es Salaam na Unaweza Kutazama Kwa Urefu zaidi Kwenye Channel Yetu ya YouTube #WasafiMedia #JANUARIHAINAKUFELI #HUUNIMWAKAWAKO #HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya #WeweNiBora