У нас вы можете посмотреть бесплатно Tumsifuni Elohim или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tumsifuni Elohim, babaa aah, Yeye aliye mkuuu, saaana aah, Amejivika mwanga kama vazi lake eeh, atuangazia nuru kwa njia zetuu uu, Yeye ni mkuu saana, Muumbaa wetuu uuu, Asema yote yeye eh anayawezaaa, Kwani aufanya upepoooh, Kuwa mjumbee wakeee.Pia ameiwekaaa, misingi duniani isitingizike. Katika shindaaa zetuuu, za hapa duniani iiii, yatupasa sisi tumwachie yeye eeh, aiyeshea milimaaa, mvua toka mbiguni na kuitosheleza mielezi ya Lebanoniii, vivyo hivyo , vivyo hivyo, ataitosheleza mahitaji yetu. Kila wakati iii, na kwa kila Hali ii, nitamwimbia yeye, maisha yangu yoteee, nitamsifa katikaa, anga la uweza wake, kwani hata furaha na amani, nazipata kwake yeeh.