• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?). скачать в хорошем качестве

Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?). 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?). в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?). или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?). в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Je Kulala Upande WA Kulia Kwa Mjamzito Ni Sahihi? (Kulalia Kulia Ktk Ujuazito Ni Sawa AU Lah?).

Kulalia Upande wa kulia kwa mjamzito, kulalia upande wa kushoto kwa mjamzito, kulala kwa Mjamzito. Bonyeza link hii hapa chini ili kusubscribe channel hii https://bit.ly/3zQ3IU0 MJAMZITO ANATAKIWA KULALA KWA KUTUMIA UPANDE GANI? Endapo wewe ni Mjamzito kwa Mara ya kwanza tambua ya kwamba kuna Mambo unatakiwa kuacha kufanya endapo ulikuwa unafanya kipindi ambacho hukuwa Mjamzito lakini pia unatakiwa kuanza kufanya Mambo mapya katika kipindi cha Ujauzito. Unapofikia Umri fulani wa Ujauzito unatakiwa uanze kujizoesha kulala Upande na hutakiwi kulala kwa kutumia Mgongo au Tumbo au vile ambavyo ulikuwa unafanya kipindi ambacho si Mjamzito. Je Mjamzito anatakiwa kutumia upande gani wakati wa kulala!? Mjamzito anashauriwa kutumia Upande wa Kushoto kuweza kulala kuliko Upande wa kulia au Mgongo au kulala kwa kutumia Tumbo. Je ni lini Mjamzito anatakiwa kuanza kulala kwa kutumia Upande wa Kushoto? Mjamzito unashauriwa kuweza kulala kwa kutumia Upande wa Kushoto Mimba inapofikisha umri wa Miezi 5 au wiki 20 kwenda juu lakini haswa unatakiwa kuhakikisha utatumia upande wa kushoto zaidi Mimba inapokuwa Miezi Mitatu ya Mwishoni kuanzia wiki 28 kwenda juu!. Endapo Mimba yako ina umri wa Miezi Mitatu ya mwanzoni unaweza kuendelea na utaratibu wa kulalia Tumbo,Mgongo au Upande wowote ule ambao unajisikia vizuri kuweza kutumia. Ukweli ni kwamba endapo Tumbo lako linapoanza kuwa kubwa hata kama Mimba Ina umri wa wiki 16 au 18 hususani kwa wale wenye Mimba za Mapacha wanatakiwa kuanza kujizoesha kulalia Upande wa Kushoto zaidi kuliko Upande wa Kulia au Mgongo. Kwa Nini Mjamzito hashauriwi kulala kwa kutumia Upande wa Kulia? Mjamzito anatakiwa kutumia Upande wa kushoto na siku kulia Mara kwa Mara kwa sababu; Mishipa mikubwa Miwili ya Damu huwa sehemu ya nyuma ya Tumbo katika yake japokuwa huwa iko upande wa kulia zaidi hivyo Mjamzito anapotumia upande wa kulia kuna asilimia chache za uwezekano wa Kugandamizwa kwa Mishipa hiyo na kuleta athari kwa Mtoto kutokana na Kupungua kwa usafirishwaji wa Damu kutoka na kwenda kwenye mfuko wa Uzazi. Je Mjamzito akilala kwa Mgongo apata Madhara yapi? Endapo Mjamzito atalala kwa kutumia Mgongo atapata shida au Tatizo la kupungua kwa usafirishwaji wa Damu kutoka na kwenda sehemu ya chini ya Mwili, hii hutokana na Kugandamizwa kwa Mishipa mikuu Miwili ambayo ni Vena ya chini na Aota ambayo hutoa Damu chafu kutoka sehemu za chini za Mwili kwenda sehemu ya Kulia ya Moyo kwa ajili ya kusafishwa na kupeleka Damu Safi kutoka sehemu ya Kushoto ya Moyo kwenye sehemu ya chini ya Mwili ikijumuisha Mfuko wa Uzazi na Kondo la Nyuma kila mmoja. Tafiti zinaonesha kwamba asilimia 80 ya Damu inayosafirishwa kwenye Mshipa wa Vena ya chini huathiriwa kutokana na Kugandamizwa kwa Mshipa huo endapo Mama amelala kwa kutumia Mgongo, vile vile hii huweza kutokea endapo Mama amelala kwa kutumia Tumbo japokuwa wanawake wengi huwa hawawezi kulalia Tumbo kwa sababu hujisikia vibaya. Kutokana na Upungufu wa usafishwaji wa Damu katika Mwili kwa Mjamzito aliyelala kwa kutumia Mgongo; 1.Huweza kupelekea kujifungua Mtoto ambaye ana Uzito mdogo ukilinganisha na umri wa Mimba au, 2. Mtoto kufia Ndani katika kipindi cha Ujauzito,Mimba inapofikia wiki 28 kwenda juu au Miezi 3 ya Mwishoni mwa Ujauzito. Tafiti zinaonesha kwamba Kati ya Mimba 10 ambazo Watoto walifia Tumboni kwenye Miezi Mitatu ya Mwishoni, Mimba 1 Ambapo Mtoto alifia Tumboni ilitokana na Mjamzito kulala kwa kutumia Mgongo hususani Mimba inapofikisha wiki 28 kwenda juu. Je endapo Mjamzito alilala kwa kutumia Upande wa Kushoto alipoamka akajikuta amelala kwa kutumia Mgongo afanyaje? Kwanza kabisa nikutoe hofu kwamba hiyo huwa inatokea unatakiwa usihofu kabisa,unachotakiwa kufanya unalala kwa kutumia Upande wa Kushoto tena endapo bado utaendelea kulala katika huo muda. Je ni Muda wote nao lala natakiwa kulala kwa kutumia Upande wa Kushoto? Ndio, iwe mchana au unapoenda kulala usiku au kama ukiamka kwa ajili ya kwenda choo usiku unaporejea Kitandani unatakiwa kulala kwa kutumia Upande wa Kushoto. Je Mjamzito ambaye anapata maumivu makali anapolala kwa kutumia upande wa kushoto afanye nini ili kuhakikisha kuwa ana Afya Bora? Endapo Mjamzito anapata maumivu makali anapolala kwa kutumia upande wa kushoto anatakiwa kutumia upande wa kulia na anahitaji kutumia mto wa Ujauzito ambao huwa na umbile la C au U huu huweza kukusaidia kupunguza uwezekano wa Kugandamizwa kwa mishipa hiyo ya Damu na kuleta athari. #MamaAfyaBoraApp #DrMwanyika #JinsiYakulalaMjamzito

Comments
  • NI HATARI MJAMZITO KULALIA MGONGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO! | ATHARI ZA KULALIA MGONGO!!!. 3 года назад
    NI HATARI MJAMZITO KULALIA MGONGO KATIKA KIPINDI CHA UJAUZITO! | ATHARI ZA KULALIA MGONGO!!!.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Fecundação - Desenvolvimento Embrionário - Fonovim Fonoaudiologia Neurológica 10 лет назад
    Fecundação - Desenvolvimento Embrionário - Fonovim Fonoaudiologia Neurológica
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Je Ulaji WA Mayai Kwa Mjamzito NI Hatari?? (Je Madhara Ya Mayai Kwa Mjamzito/Ktk Ujauzito NI Yapi)?. 3 года назад
    Je Ulaji WA Mayai Kwa Mjamzito NI Hatari?? (Je Madhara Ya Mayai Kwa Mjamzito/Ktk Ujauzito NI Yapi)?.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na nini? | Mambo gani hupelekea Maumivu ya Tumbo?? 4 года назад
    Je Maumivu ya Tumbo kwa Mjamzito husababishwa na nini? | Mambo gani hupelekea Maumivu ya Tumbo??
    Опубликовано: 4 года назад
  • Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??. 3 года назад
    Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)! 3 года назад
    Je Dalili ZA Mtoto Kugeuka Tumboni Mwa Mjamzito NI Zipi? (Dalili 5 ZA Mtoto Kugeuka Ktk Ujauzito)!
    Опубликовано: 3 года назад
  • Je Ulaji WA Miwa Kwa Mjamzito NI Salama???Unywaji WA Juisi Ya Miwa Kwa Mjamzito!!! 2 года назад
    Je Ulaji WA Miwa Kwa Mjamzito NI Salama???Unywaji WA Juisi Ya Miwa Kwa Mjamzito!!!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!! 1 год назад
    Je Madhara Ya Kutokunywa Maji Ya Kutosha Kwa Mjamzito NI Yapi?| Faida ZA Unywaji Maji Kwa Mjamzito!!
    Опубликовано: 1 год назад
  • MKASA WA MTOTO WA MIEZI MINNE KUKATWA MKONO HOSPITALI YA LUMUMBA, UZEMBE WADAIWA KUWA CHANZO 3 дня назад
    MKASA WA MTOTO WA MIEZI MINNE KUKATWA MKONO HOSPITALI YA LUMUMBA, UZEMBE WADAIWA KUWA CHANZO
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)! 2 года назад
    Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!
    Опубликовано: 2 года назад
  • Всего 5 МИНУТ в ЭТОЙ позе и вы не поверите что будет с тазовым дном! 4 месяца назад
    Всего 5 МИНУТ в ЭТОЙ позе и вы не поверите что будет с тазовым дном!
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa 2 месяца назад
    Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu?? 3 года назад
    Je Maumivu ya Mbavu kwa Mjamzito husababishwa na Nini?? | Mambo gani hupunguza Maumivu ya Mbavu??
    Опубликовано: 3 года назад
  • WEMA SEPETU, KAJALA, PAUL NA LULU DIVA WAMPA ZAWADI HII NANDY KWENYE KIBAO KATA 1 день назад
    WEMA SEPETU, KAJALA, PAUL NA LULU DIVA WAMPA ZAWADI HII NANDY KWENYE KIBAO KATA
    Опубликовано: 1 день назад
  • Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8 2 года назад
    Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8
    Опубликовано: 2 года назад
  • Как инуиты спят при -64°C без обогрева 5 месяцев назад
    Как инуиты спят при -64°C без обогрева
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • Je Kuharisha Kwa Mjamzito Husababishwa NA Nini??(Sababu 8 ZA Kuharisha Ktk Kipindi Cha Ujauzito)!. 3 года назад
    Je Kuharisha Kwa Mjamzito Husababishwa NA Nini??(Sababu 8 ZA Kuharisha Ktk Kipindi Cha Ujauzito)!.
    Опубликовано: 3 года назад
  • Sababu 15 Zinazopelekea Bawasiri Kwa Mjamzito Ktk Kipindi Cha Ujauzito!!? | Madhara Ya Bawasiri ! 1 год назад
    Sababu 15 Zinazopelekea Bawasiri Kwa Mjamzito Ktk Kipindi Cha Ujauzito!!? | Madhara Ya Bawasiri !
    Опубликовано: 1 год назад
  • Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito) 2 года назад
    Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)
    Опубликовано: 2 года назад
  • Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация 10 месяцев назад
    Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация
    Опубликовано: 10 месяцев назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5