У нас вы можете посмотреть бесплатно #live или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakazi wa Engarenaibor waiomba Serikali kushughulikia miundombinu korofi,inayopelekea maafa kwa wafanyabiashara kwa kushindwa kusafirisha mizigo yao katika mnada unaofanyika kila jmos. Rai hiyo imetolewa na wakazi hao katika ajali iliyotokea kwa kuzama kwa Fuso mbili na kupelekea hasara ya gunia 200 za mahindi na kupotea kwa mazao ya kina mama wajasiliamali. Mkuu wa Wilaya hiyo Salum Kalli,akiambatana na Kamati ya Usalama,ametoa pole na kuahidi kushughulikia matatizo ya korongo hilo. Ahsante kwa kuwa mwana familia,(Smile media) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya Smile media ili usipitwe na habari zetu. #Smile media #binatv #DIAMOND PLATNUM #ALIKIBA #HARMONIZE @MANARA #MILLARD AYO #SIMULIZE NA SAUTI #MBENGOTV #BONGO TOUCH #PTV TANZANIA @NANDY #ZUCHU #MBOSSO #ZUCHU NA DIAMOND #RICK MEDIA #TREND VIDEO #BONGO 5 #BONGO 24 #S500 #SHOW YA DIAMOND #SHOW YA HARMONIZE #SHOW YA MBOSSO #SHOW YA ZUCHU #MANARA TV #BABA LEVO #MWIJAKU #DOTTO MAGARI #H BABA #EFM #CLOUDTV #UMBEA WA MJINI #BONGO TRENG #WEMA SEPETU #MAJABU YA DIAMOND #WASAFI #MBINGO TV #MIDDSIMBA #UDAKU