У нас вы можете посмотреть бесплатно Miche bora na utunzaji bora wa shamba hutoa miti bora na yenye kutoa faida kubwa. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miche bora na utunzaji bora wa shamba hutoa miti bora na yenye kutoa faida kubwa. Kama moja ya matukio ya ziada wakati wa kongamano la uwekezaji kwenye sekta ya misitu washiriki watapata fursa ya kutembelea mashamba bora, viwanda na kupata fursa ya kujifunza zaidi kuhusu uwekezaji kwenye sekta ya misitu. Jisajili ili na wewe upate fursa ya kujifunza na kukutana na wadau wengine katika sekta ya misitu. Ni tarehe 13 hadi 15 Novemba 2021, Mafinga . Iringa. Kujisajili bofya link kwenye bio . https://www.forestryinvestmentforum.c... #twendenamisitu #tajirikanamisitu #iringawoodland #twenzetuiringa #forestryinvestment #uwekezajiwenyetija #misitunaviwanda #iringakumenoga #pandamitikibiashara #misituinalipa