У нас вы можете посмотреть бесплатно ANGALIA HII KABLA YA KUANZA KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA MITI или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kilimo cha miti ni fursa nzuri sana ya kuwekeza hapa nchini kwetu. Kuna bidhaa nyingi ambazo zinategemea kilimo cha miti hivyo upatikanaji wa soko sio changamto kubwa. Ni vyema kwa kila mtu ambaye angependa kujikita kwenye biashara hii kupata elimu ya kutosha juu yake ili kujiandaa na changamoto mbali mbali ambazo zinaweza kutokea. Video hii inakupa tu maelezo ya awali na experience yangu katika biashara hii. Ni vyema ukaendelea kupata elimu zaidi kupitia taasisi kama Tanzania Forestry Society, Wizara ya Maliasili na Utalii nk.