У нас вы можете посмотреть бесплатно "ACHENI MARA MOJA" | MAKAMU WA RAIS ATOA ONYO KALI KWA WATOA MIKOPO MTANDAONI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa onyo kali kwa taasisi na watu binafsi wanaotoa mikopo kupitia mitandao bila kufuata sheria, huku akiwataja baadhi ya wakopeshaji hao kama “Yakomkopo” na “Pesa Yako”. Akizungumza leo Julai 30, 2025, wakati wa uzinduzi wa Mfumo Mkuu Jumuishi wa Kibenki (iCBS), Dkt. Mpango amesema watoa mikopo hao wamekuwa wakitoza riba kubwa isiyo halali, kuingilia faragha za watu kwenye mitandao, na kuwazalilisha hadharani, jambo alilolielezea kuwa ni ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za nchi.