У нас вы можете посмотреть бесплатно NAIBU WAZIRI KIHENZILE AZINDUA KITUO CHA AFYA MAKUNGU MUFINDI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NAIBU WAZIRI KIHENZILE AZINDUA KITUO CHA AFYA MAKUNGU MUFINDI Naibu Waziri wa Uchukuzi (MB), @david_Kihenzile amezindua Kituo cha Afya Makungu kilichopo Kata ya Makungu, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambacho kinatarajiwa kuhudumia wananchi wa kata hiyo pamoja na kata za jirani zikiwemo za mkoa wa Njombe. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Kihenzile ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, amesema kukamilika na kuanza kwa utoaji huduma katika kituo hicho ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kusogeza huduma za afya karibu na wananchi. Amesema serikali imeendelea kuimarisha miundombinu ya afya ili kupunguza adha ya wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata matibabu, huku akisisitiza kuwa kituo hicho kitasaidia kuboresha upatikanaji wa huduma za mama na mtoto, matibabu ya dharura na huduma nyingine muhimu za afya. Wananchi wa Makungu na maeneo ya jirani wameeleza kufurahishwa na hatua hiyo wakisema itarahisisha upatikanaji wa matibabu na kupunguza gharama za usafiri waliokuwa wakitumia kufuata huduma katika vituo vya mbali.