У нас вы можете посмотреть бесплатно RUMEYSA na JYOTI: MWANAMKE MREFU na MFUPI ZAIDI DUNIANI—SIKU MREFU ANAPANDA NDEGE WATU WALISHANGAA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RUMEYSA na JYOTI: MWANAMKE MREFU na MFUPI ZAIDI DUNIANI—SIKU MREFU ANAPANDA NDEGE WATU WALISHANGAA Wanawake wawili waliovunja rekodi za dunia kwa urefu na ufupi wao hivi karibuni walikutana kwa mara ya kwanza jijini London, Uingereza, na kutumia nafasi hiyo kuwahamasisha watu kote ulimwenguni kusherehekea tofauti zao za kimaumbile. Rumeysa Gelgi, mwanamke mrefu kuliko wote duniani mwenye umri wa miaka 27, ni mtaalam wa masuala ya tovuti kutoka Uturuki, na Jyoti Amge, mwanamke mfupi kuliko wote duniani mwenye umri wa miaka 30, ni mwigizaji kutoka India. Wawili hao walikutana katika hoteli ya kifahari ya The Savoy, nchini Uingereza. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx