У нас вы можете посмотреть бесплатно DC MAGOTI ATEMA CHECHE MIGOGORO YA ARDHI HOMBOZA-KISARAWE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HOMBOZA, Kisarawe: SERIKALI inatarajia kufanya mkutano wa kliniki ya ardhi katika Kijiji cha Homboza \ kwa lengo la kushughulikia changamoto za wananchi kuhusu migogoro ya ardhi iliyodumu kwa muda mrefu. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, amesema mkutano huo utafanyika Agosti 22 katika viwanja vya Homboza Palalee na Kichangani, Kata ya Msimbu, wilayani humo. Ameeleza kuwa wataalamu wote wa ardhi watakuwepo kusikiliza na kutatua changamoto zinazohusu umilikaji na matumizi ya ardhi kwa wananchi wa maeneo hayo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09