У нас вы можете посмотреть бесплатно WAFANYA BIASHARA SINGIDA WAFUNGA BARABARA, RC DENDEGO AWATAKA KUWA WAPOLE WAFIKE OFISINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanya Biashara Mkoani Singida wamefunga Barabara kuu ya Singida mwanza kwa takribani dakika 45. Wakiishinikiza Serikali kutoa mfumo wa stakabadhi Ghalani kwenye mazao ya mbaazi ufuta na Dengu, ili wauze kwenye soko la kawaida kuepuka urasimu wa mfumo huo wa stakabadhi. Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Singida Bi. Halima Dendego baada ya kufuatwa na Waanddishi wa Habari ili kujua majibu ya kilio hicho, amewataka wafanyabiashara Hao kufuata sheria pasi na kujichukulia sheria mikononi na kufunga barabara kwani viongozi wapo kwajili ya kutatua changamoto zao.