У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WAIOMBA SERIKAKA KUHARAKISHA MCHAKATO WA UJENZI WA BARABARA YA MAKONGOROSI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WANANCHI WAIOMBA SERIKAKA KUHARAKISHA MCHAKATO WA UJENZI WA BARABARA YA MAKONGOROSI LUNGWA MPAKANI MWA MBEYA NA SINGIDA Baada ya Serikali kukamilisha ujenzi wa madaraja mawili katika barabara ya Makongorosi , Lungwa Mpakani wa mkoa wa Singida na Tabora, Wananchi wa Wilayani Chunya Mkoani Mbeya wameiomba Serikali kuanza mchakato wa ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kurahisisha usafirishaji wa mazao na kukuza uchumi kwa wananchi. Wakizungumza mbela ya timu ya wataalamu kutoka ya Wakala wa Barabara Tanzania ,TANROADS, makao makuu natimu ya wataalamu kutoka mkoa wa Mbeya, baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chunya wamesema mbali na kukamilika kwa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni kiunganishi muhimu katika barabara hiyo wanaiomba Serikali ya awamu ya sita kuanza mchakato wa ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami. Akizungumzia ujenzi wa madaraja hayo mawili Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania, TANROADS, Mkoa wa Mbeya Mhandisi Suleiman Bishanga amesema madaraja hayo ambayo yamejengwa katika Kata ya Lupatingatinga na kata Mafyeka katika kijiji cha Bitimanyanga yamegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 9.9