У нас вы можете посмотреть бесплатно RC MAKAME ATOA WIKI MOJA KUANZA UJENZI WA BARABARA MLOWO–KAMSAMBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RC MAKAME ATOA WIKI MOJA KUANZA UJENZI WA BARABARA MLOWO–KAMSAMBA Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Jabiri Omari Makame, ametoa wiki moja kwa mkandarasi wa mradi wa barabara ya Mlowo–Kamsamba kuhakikisha anaingia kazini mara moja kuanza ujenzi kwa kiwango cha lami. Amesema kuwa serikali tayari imetenga fedha na mkataba umeshasainiwa, hivyo kuchelewa kwa zaidi ya miezi sita bila kazi kuanza ni jambo lisilokubalika kwa mradi wa maslahi kwa wananchi. Aidha, Mhe. Makame amezitaka taasisi za usimamizi wa miradi kuongeza uwajibikaji ili kuhakikisha miradi inakwenda kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa. Amesisitiza kuwa ucheleweshaji wa miradi unarudisha nyuma maendeleo ya wananchi, na akaahidi kufuatilia kwa karibu utekelezaji wa barabara hiyo pamoja na miradi mingine muhimu mkoani Songwe.