У нас вы можете посмотреть бесплатно Aslay - Inauma (Official Lyrics Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#aslay #bongoflava #sonymusicafrica #miminibongoflava Aslay - Inauma Official Lyric Video Inauma ni wimbo wa mapenzi lakini wenye kusikitisha na kuumiza moyo, wimbo huu una mahadhi ya mpangilio wa ara za muziki wa zamani wa kitanzania. Aslay amezungumzia wivu, kushindwa kuvumilia pale unapoachwa na Yule umpendaye Upangiliaji wa maneno na uandishi wa Aslay unaongeza utofauti kwenye wimbo huu kwani ucheshi uliotumika unafanya wimbo kuwa wakipekee vinginevyo ungekuwa wimbo wa mapenzi wa kusikitisha,lakini ucheshi umenogesha na kuufanya wimbo wa kufurahisha na kuumiza katika mapenzi. Follow Aslay at: / aslayisihaka / aslayofficial Bookings: bookings@wearerockstarafrica.com Yeeeh lele Loooh Leeeh lelele Oooh lolololoh Lolo Tuna siku tatu toka tumeachana Yaani juzi kuamkia jana Yaani hata week haijaisha kinachonisikitisha tayari ameshapata bwana Halafu hawazi Haonyeshi dalili ya machozi Yaani bonge la surprise amenifanyia Mwili wote umeingiwa ganzi Ina maana alikuwa ananisaliti Ndiyo maana haikupita hata week Inauma maumivu hayasimuliki kuona wakipeti peti hadharani wanajua kunirusha roho wakiniona ndiyo wanashikana malovebite kwenye shingo kwa mdomo ndiyo wanalishana Yala weeh yala weeh inauma Yala weeh yala weeh inauma Najikaza kisabuni lakini roho inauma yala weeh yala weeh inauma Yala weeh yala weeh inauma Yala weeh Yala weeh inauma Najikaza najikaza lakini ukweli inauma Yala weeh yala weeh inauma Aiyooooooo lile lile Aaaah lilele eeh Jamani mi ndugu yenu ninateseka Nitahama nivikimbie hivi vibweka Majirani nao washaanza kunicheka Nyimbo za mafumbo ameachwa ameachwa Akili inanituma nikapigane Ila mwana mbavu kajazia simuwezi Natamani nimtukane Ila nikimuona nabaki kigugumizi Naomba wafe baharini waliwe na papa Halafu yule papa avuliwe aletwe hapa Nimle nishibe na miba niwape paka Wivu umenishika nimechoka nimechoka Wanajua kunirusha roho Wakiniona ndiyo wanashikana malovebite kwenye shingo Kwa mdomo ndiyo wanalishana Yala weeh yala weeh inauma Yala weeh yala weeh inauma Najikaza kisabuni lakini roho inauma Yala weeh yala weeh inauma Yala weeh yala weeh inauma Yala weeh yala weeh inauma Najikaza najikaza lakini ukweli inauma Yala weeh yala weeh inauma Nasikia wivu Inamaana magetoni ndiyo haji tena Mwenzenu Nasikia wivu Alivyonipa mimi anampa yule bwana Nasikia wivu Ooh inauma Mwenzenu nasikia wivu Jamani eeh inauma Nasikia wivu Inauma Mwenzenu nasikia wivu Nasikia nasikia Nasikia wivu Eeeh lele Mwenzenu Nasikia wivu Unaniumiza wivu