У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbadi awataka wanaompinga Rais Ruto chamani kuwaelezea sababu zao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi amefichua kwamba tofauti zinazoshuhudiwa katika chama cha Orange Democratic Movement (ODM) na baadhi ya wanachama kukataa kumuunga mkono Rais William Ruto, akiwemo Katibu Edwin Sifuna, zilianza kinara wa chama Raila Odinga akiwa hai ila si wakati huu. Mbadi akiwataka wanaotafutiana na ODM kujieleza ipasavyo kwani Kenya kuna tu mirengo miwili ya kisiasa. Ametoa wito wa ushirikiano na umoja wa jamii ya Luo na ODM kwa ujumla, akipata uungwaji mkono kutoka kwa wazee wa jamii ya Luo.