У нас вы можете посмотреть бесплатно Wafanyabiashara Kariakoo ngoma ngumu, waweka msimamo kufungua maduka, wamtaka Rais Samia или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko alilolitoa. Mgomo wa wafanyabiashara hao umeingia siku ya tatu leo, huku kilio chao kikubwa kikiwa kuilalamikia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa tozo mbalimbali.