У нас вы можете посмотреть бесплатно ANGALIA MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA MIGUNGANI 2025 YALIVYONOGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kupitia risala ya Wahitimu wa Kidato cha nne wa shule hiyo wamesema vilevile changamoto za ukosefu wa umeme kwenye madarasa na ukosefu wa jiko kwa ajili ya Maandalizi ya chakula cha wanafunzi shuleni kuwa ndivyo vipaumbele ambavyo vinatakiwa kufanyiwa kazi kwa haraka kwa manufaa ya wanafunzi wanaobaki. Kupitia risala hiyo jumla ya wanafunzi 291 wanahitimu kidato cha nne 2025 ambapo kati yao wanafunzi wa kike ni 159 na wavulana ni 132 kati ya wanafunzi 374 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2022. Wanafunzi hao wamebainisha kuwa wa sababu za utoro na kuhama ni miongoni mwa sababu idadi hiyo ya wanafunzi kupungua.