У нас вы можете посмотреть бесплатно UPENDO UNAAMBATANA NA KUTOA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UPENDO WA KWELI UNAAMBATANA NA KUTOA Upendo si maneno tu ni matendo. Mtu anayekupenda kwa dhati yupo tayari kukuhudumia, hata kwa kidogo alicho nacho. Mungu mwenyewe aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwana wake wa pekee. Huo ndio mfano wa upendo wa kweli unaotoa, unaojitoa. Unapotoa kwa ajili ya mpenzi wako au mchumba wako, unadumisha na kustawisha upendo wenu. Lakini leo hii, wapo wanaume wanaodanganya kwa maneno matamu “nakupenda” ilhali hawana hata juhudi ya kukuonesha kwa vitendo. Mtu anayekuambia anataka kukuoa, lakini hana kazi yoyote wala juhudi ya kufanya lolote, huyo anakupoteza muda. Mwanaume mwenye malengo hujishughulisha hata kama ni kazi ya hali ya chini. Kazi yoyote halali ni heshima. Cha muhimu ni kuwa na moyo wa kuwajibika na kutoa. Ndiyo maana kazi ni daraja la heshima na mafanikio. Kijana wa kiume: usichague kazi. Piga kazi hata ile ambayo watu huona ni duni. Mungu ndiye humpandisha mtu kutoka chini kwenda juu. Anaweza kukuinua kupitia kazi hiyo hiyo ya kawaida, ukawa mtu mkubwa kesho. Maombi yangu ni haya: Mungu awaondoe kwenye nyumba za kupanga na kuwapa nyumba zenu. Lakini kumbukeni hamtapokea kwa maneno pekee, bali kwa kazi na bidii. Imani bila matendo imekufa. ASKOFU SUBIRA PETER MITIMINGI #WCC