У нас вы можете посмотреть бесплатно CHANJO ya Kideri na Mafua ya Kuku | Dawa za Dukani na Tiba za Asili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
CHANJO ya Kideri na Mafua ya Kuku | Dawa za Dukani na Tiba za Asili Katika video hii utajifunza kwa undani kuhusu ugonjwa wa KIDERI na MAFUA ya kuku, magonjwa mawili hatari yanayosababisha vifo vingi kwa wafugaji wengi. 🔴 Utajifunza: ✅ Chanjo sahihi ya Kideri (Newcastle Disease) ✅ Kwa nini kideri haina dawa bali chanjo tu ✅ Dawa za dukani zinazotibu mafua ya kuku ✅ Tiba za asili zinazosaidia kupunguza mafua na kuimarisha kinga ✅ Makosa yanayowafanya wafugaji wapoteze kuku wengi ✅ Tofauti ya kideri na mafua (usichanganye!) ⚠️ Kumbuka: Kideri HAINA TIBA, ipo CHANJO TU Mafua YANATIBIKA kwa dawa za dukani na tiba za asili Kinga ni bora kuliko tiba 📌 Video hii ni muhimu kwa: 🐔 Wafugaji wa kuku wa kienyeji 🐔 Broilers 🐔 Layers & Chotara 👉 Usisahau: 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe KINGOFARM kwa elimu ya ufugaji wa kuku na tiba za asili