У нас вы можете посмотреть бесплатно MADA: NEEMA YA KUZIDISHWA NA KUONGEZEKA || DKT: LAMECK KASUMBA MAGULUCHINI || HCCFAN. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NEEMA YA KUZIDISHWA NA KUONGEZEKA Tunapozungumza kwa habari ya NEEMA YA KUZIDISHWA NA KUONGEZEKA, tunakuwa tunazungumza kuhusiana na KINGDOM ECONOMICS yaani mfumo wa kiuchumi unaotawaliwa na Kanuni za ufalme wa Mungu au kanuni za kimbingu, lengo kuu la mfumo huu ni sisi tuliookoka, kuwa mawakili wa siri, kanuni, uchumi na mali za ufalme wa Mungu. ZABURI 24:1 Imeandikwa, "Dunia na vyote vilivyomo duniani ni mali ya Mungu, sisi tuliookolewa ni wana na watoto wa Mungu, kama watoto wa Mungu ni warithi katika mali za Baba yetu (Mungu), hatupo duniani kwa ajili ya kula tu, au kushiriki katika kutumia tu, katika mali za Baba yetu wa mbinguni, bali lengo kuu ni tupo duniani ili kusimamia, kutunza na kukuongoza mali za Baba yetu Mungu, Mungu anahitaji kuona uaminifu wetu katika utunzaji, usimamizi, na utumiaji wa mali zake, ili Neema ya kuzidishwa na kuongezeka sana iwe juu yetu, kuzidishwa na kuongezeka katika kila eneo la maisha yetu ni matokeo ya uaminifu wetu katika kutunza, kusimamia na kutumia mali za Baba yetu, KINGDOM ECONOMICS ina kanuni zake tofauti na Kanuni za uchumi za kishetani na hata kanuni za uchumi za ki-dunia. Ukitaka kumiliki uchumi kwa mfumo wa kanuni za kiroho za ki-Mungu, sharti uwe na ufahamu kuhusiana na Kanuni za kumiliki uchumi ki-Mungu, na uwe tayari kufanyia kazi. Kwasababu kuendesha, kutunza, kusimamia na kutumia uchumi wa kiroho wa upande wa Mungu ni tofauti kabisa na Kanuni au mifumo mingine ya kiuchumi. Kwa mfano mfumo wa uchumi wa kiroho wa ki-Mungu, kutoa sadaka sio matumizi, utoaji ni uwekezaji, kutoa ni kupanda mbegu, ukipanda haba utavuna haba, ukipanda kwa ukarimu utavuna kwa ukarimu, na ukipanda vingi tarajia kuvuna vingi LUKA 6:38. #praiseandworship #automobile #babamwonaji #gospelmusic #africa #christianmusic #news #hccfan #love #cpct