У нас вы можете посмотреть бесплатно TANZANIA YAPIGA HATUA YA KUIMARISHA USAFIRI WA MIGUU NA MAGARI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ujenzi wa barabara ya Mbalizi - Shigamba Tarafa ya Isangati Jimbo la Mbeya vijijini inayojengwa kwa kiwango cha lami unaendelea na umeelezwa kufikia asilimia 40 katika kuhakikisha wananchi wa Mbeya vijijini wanasaidika. Hayo ni kwa mujibu wa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Suleiman Bishanga wakati akizungumza mbele ya Kamati ya Siasa Wilaya ya Mbeya Vijijini ambapo amesema hadi sasa kazi zilizotekelezwa ni pamoja na umwagaji wa vifusi na ujenzi wa makaravati, hatua inayoonesha maendeleo mazuri ya mradi huo.a mafanikio hayo yametokana na uchambuzi wa mfumo uliofanywa na taasisi hiyo pamoja na halmashauri kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa katika kikao kazi kati ya TAKUKURU na wadau wa halmashauri. Hatua hiyo imewawezesha walimu 77 waliokuwa na madai kulipwa stahiki zao. Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE Youtube Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram