У нас вы можете посмотреть бесплатно BANDARI YA MTWARA YANG'ARA USAFIRISHAJI WA SARUJI NA MAKAA YA MAWE. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Usafirishaji wa shehena za saruji na makaa ya mawe kwenye bandari ya Mtwara umeongezeka kutoka tani 1300 hadi tani 25000 kwa upande wa saruji huku makaa ya mawe yakifikia tani 1,003,000 ambazo ni juu ya malengo ya tani 402,200 yaliyopangiwa bandari hiyo kwenye usafirshaji wa shehena hizo. Hayo yameelezwa na kaimu Meneja bandari hiyo Nobert Kalembwe alipotembelewa na naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi na uchukuzi kitengo cha uchukuzi. Kwa upande wake naibu katibu mkuu wizara ya ujenzi na uchukuzi kitengo cha uchukuzi Dkt. Ally Possi ameitaka bandari ya Mtwara kuongeza mapato kutokana na kuongezeka kwa usafirshaji wa shehena hizo.