У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANYIKA MHAGAMA WAULA UENYEKITI WA BUNGE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BUNGENI LEO, MWANYIKA MHAGAMA WAULA UENYEKITI WA BUNGE Bunge la Tanzani leo limeridhia na kuwapitisha wenyeviti wapya wa bunge waliopendekezwa na Kamati ya Uongozi ya Bunge Wiki iliyopita Kamati ya uongozi ya bunge ilipendekeza majina mawili kuchukuanafasi hiyo ya uenyekiti wa bunge Majina ambayo yalipendekezwa kushika nafasi ya uenyekiti ni Deodatus Philip Mwanyika ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda Biashara Kilimo na Mifugo. Mwingine aliyependekezwa ni Dkt Joseph Kizito Mhagama ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala Katiba na Sheria. Uteuzi huu mpya wa wenyeviti unakuja baada ya Rais Dkt samia Suluhu Hassan kuwachagua wenyeviti wawili kuwa mawaziri David Mwakiposa Kihonzile aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Daniel Sirro aliteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Imeandaliwa na Kulthum Ally Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09