У нас вы можете посмотреть бесплатно BARABARA KOROFI IRINGA KUJENGWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BUNGENI LEO, SERIKALI KUREKEBISHA BARABARA KOROFI IRINGA Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Zainabu Katimba amesema serikali imeshaanza kujenga barabara korofi ya Ilula Image na Ibumu Mkoani Iringa Akijibu swali bunge mjini Dodoma , Katimba amesema tayari serikali imeshatoa fedha za dharura Milioni 150 ili kujenga barabara hizo ili kurahisisha usafirishaji katika eneo hilo. Katimba amesema serikali inatambua umuhimu wa barabara hizi katika suala zima la uzalishaji mali na ukuaji wa uchumi wa eneo hilo. Hatahivyo amesema barabara nyingine Kitoo, Masisiwe na Mwatasi nazo zilitengewa fedha shilingi Milioni 36.8 kwa lengo la kuchonga barabara kilomita 8 na kuweka kifusi kilomita 2. Imeandaliwa na Kulthum Ally Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09