У нас вы можете посмотреть бесплатно KILIO cha MTOTO ANNA ALIYEFICHWA VIFO vya WAZAZI Wake Siku 22.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KILIO cha MTOTO ANNA ALIYEFICHWA VIFO vya WAZAZI Wake Siku 22.. Hatimaye Anna Zambi (16), binti aliyefiwa na wazazi wake wawili na ndugu zake watatu waliopata ajali wakati wakienda kwenye mahafali yake mkoani Kilimanjaro Oktoba 26, 2019 leo Jumamosi Novemba 16, 2019 amefahamishwa kuhusu vifo hivyo. Amewasili nyumbani kwao Goba Dar es Salaam saa 10.30 alfajiri akitokea shule ya Sekondari ya Mather Theresia of Calcuta baada ya kumaliza mtihani wa Taifa wa kidato cha nne ulioanza Novemba 4, 2019. Wazazi wake, Lingston Zambi na Winifrida Lyimo na wadogo zake watatu, Lulu, Andrew na Grace walikufa katika ajali hiyo baada ya gari walilokuwa kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga. Baada ya vifo hivyo, Anna ambaye hakuelezwa chochote na hata alipomaliza mitihani yake pia hakuambiwa mpaka leo alipofika nyumbani na kupewa habari hizo. Ndugu zake walipata wakati mgumu kuhusu jinsi ya kuanza kumpa taarifa hiyo ya huzuni. "Alipofika watu wanne walikwenda kumweleza. Kwa kweli alilia sana. Alipoingia ndani alijilaza miguuni mwa bibi yake na kuendelea kulia.” "Aliongea mengi huku akilia akasema alihisi jambo hilo na kuna wakati alikuwa anaamka usiku na alisema mitihani yake amefanya kwa taabu sana," amesema Ibrahim Zambi ambaye ni baba yake mdogo. Ibrahim amesema Anna alikuwa akilia na kuzungumza maneno ya simanzi, “mwenyewe alisema ‘kwanini mliniacha, hamkuja kunichukua tuondoke wote’. Ameongeza, “tunashukuru Mungu tulihofia sana angepata shida kubwa ila amepokea vizuri anaomboleza tu.” Dk Doya Frederick aliyepo nyumbani kwa kina Anna, ameshauri mtoto huyo apumzike na baadaye asaidiwe kiimani na kisaikolojia. Aviasale's https://i.avs.io/c02b16 #ANNAZAMBI YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list...