У нас вы можете посмотреть бесплатно UJENZI WA VYUO VYA UFUNDI STADI (VETA) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Dhamira thabiti ya serikali katika kuimarisha elimu ya ufundi stadi kwa kujenga vyuo vya VETA katika kila wilaya nchi nzima. Azma hii inalenga kutoa fursa sawa kwa vijana wote, hasa waliopo maeneo ya vijijini na pembezoni, ili waweze kupata ujuzi wa vitendo unaowawezesha kuajirika au kujiajiri. Kupitia mpango huu, serikali inakusudia kukuza uchumi wa viwanda kwa kuongeza idadi ya wataalamu wa kati wenye ujuzi mbalimbali, huku ikipunguza tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana. Ujenzi wa vyuo hivi unaungwa mkono na wadau mbalimbali wa maendeleo, ikiwa ni pamoja na wahisani wa kimataifa na mamlaka za serikali za mitaa, hatua inayodhihirisha ushirikiano wa kitaifa katika kufanikisha maendeleo ya rasilimali watu nchini hivyo, wito kwa Watanzania wa rika zote kujiunga na vyuo vya VETA ili kujifunza ujuzi wa ufundi stadi unaowawezesha kuajiriwa au kujiajiri VETA kwani ni fursa kwa vijana waliomaliza shule, watu wazima wanaotaka kubadili maisha yao, na hata wale walio na elimu ya juu lakini wana ari ya kujifunza #SamiaKazini #KutokaSite #MaendeleoMpakaNdichi #Kazinaututunasongambele