У нас вы можете посмотреть бесплатно UJENZI WA SHULE YA KISASA YA WASICHANA MARA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ujenzi wa shule ya kisasa ya wasichana Mara haujakuwa tu ni mradi wa kimapinduzi katika sekta ya elimu, bali pia umekuwa na manufaa makubwa kwa wanafunzi. Miundombinu bora inayojengwa imepunguza changamoto ya umbali, kupunguza utoro, na kutoa nafasi kwa wanafunzi kujifunza katika mazingira bora. Hii ni fursa mpya kwa vijana kutoka maeneo mbalimbali kupata elimu bora, na hatimaye kufikia malengo yao ya kitaaluma. Wanafunzi hawa sasa wanajivunia kuwa sehemu ya mradi mkubwa ulioletwa na juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hata hivyo, ahadi ya wanafunzi ni wazi “Divisheni One is possible!” Kwa kushirikiana na serikali na wadau wengine, wanafunzi hawa wameahidi kuhakikisha kuwa wanatumia kila fursa iliyopo kufikia mafanikio makubwa na kuleta heshima kwa shule hii. Uwepo wa miundombinu bora ni msingi imara kwa mafanikio yao ya kielimu. Shule hii imekuwa mfano wa maono, ushirikiano, na uthubutu na inatoa nafasi mpya za mafanikio kwa kizazi cha sasa na kijacho. #SamiaKazini #KutokaSite #MaendeleoMpakaNdichi #Kazinaututunasongambele