У нас вы можете посмотреть бесплатно UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KWIMBA MKOANI MWANZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ndoto Iliyotimia kwa wakazi wa Kwimba, ndoto ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kwimba Kwa miaka mingi, wakazi wa Kwimba wamekuwa wakisafiri umbali mrefu hadi Hospitali ya Bugando kupata huduma za afya hali iliyowakosesha wengi huduma kwa wakati, na wakati mwingine akina mama wajawazito, watoto wachanga, na wagonjwa wa dharura kupoteza maisha njiani. Lakini sasa, matumaini yamerudi kwa wakazi wa kwimba akiwemo mama mjamzito aliyetaka kufunga safari kufuata matibabu Bugando lakini sasa kutokana na kuwepo kwa hospitali hii ya wilaya ya kwimba sasa matibabu yake atayafanyia haha hapa ndani ya wilaya ya kwimba #SamiaKazini #KutokaSite #MaendeleoMpakaNdichi #Kazinaututunasongambele