У нас вы можете посмотреть бесплатно DKT. SAMIA SULUHU HASSAN MWANAMKE JASIRI, MWENYE MAONO NA MOYO WA MAMA KWA TAIFA ZIMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika Siku hii ya Mama, tunamsherehekea mama wa taifa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mwanamke jasiri, mwenye maono na moyo wa mama kwa taifa zima. Amejenga shule nyingi za wasichana kote nchini, akifungua milango ya matumaini na ndoto kwa maelfu ya watoto wa kike. Kila tofali ni alama ya imani yake kwa uwezo wa binti wa Kitanzania. Kama Rais wa kwanza mwanamke, Dkt. Samia amesimama si tu kama kiongozi, bali kama mwanamke jasiri anayebeba matumaini, ndoto na heshima ya wanawake wote. Utu wake, huruma yake na uthubutu wake ni baraka kwa kizazi hiki na vijavyo. Hongera mama yetu, hongera mama wa taifa kwa kuandika historia hii kwa vitendo, na wala si kwa maneno matupu #SikuYaMama #SamiaKazini #KutokaSite #MaendeleoMpakaNdichi #Kazinaututunasongambele