У нас вы можете посмотреть бесплатно NYAKURUNDUMA NI HATARI! NINI KINACHOTENDEKA? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kufuatia mafuriko yaliyotokea jijini Mwanza na kusababisha adha kwa wananchi wa jiji hilo wakazi wa kata ya Mkuyuni wameiomba serikali kufanya uchunguzi wa chanzo cha ongezeko la maji kwenye mto Nyakurunduma unaokatiza kwenye eneo hilo,pamoja na kuchukua hatua ili kudhibiti hali hiyo inayoweza kusababisha majanga vikiwepo vifo. Rai hiyo imetolewa mbele waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais Muungano na Mazingira Mhandisi Hamad Masauni alipodhuru eneo hilo ili kutoa pole kwa niaba ya serikali ambaye licha ya kuagiza kuundwa kwa kikosi kazi kitakachofanya utafiti na kuja na suluhisho la changamoto hiyo amewataka wananchi kufuata sheria za ujenzi wa mipangomiji na kujiepusha na ujenzi holela unaohatarisha usalama wao. Fuatilia Mwanzo TV Plus SUBSCRIBE Youtube Channel yetu Follow us on X, Facebook and Instagram