У нас вы можете посмотреть бесплатно Walter Chilambo - Nitakase (Official Lyric Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official lyric video for “Nitakase” by Walter Chilambo Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • Walter Chilambo - Messiah (Official Music ... Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp Follow Walter Chilambo Instagram: / walterchilambotz YouTube: / walterchilambo Nitakase Lyrics Kuna wakati tunapitia mambo magumu Nakujiona kwamba tunayaweza wenyewe Kuna wakati yakitulemea twalaumu Nakukufuru Mungu kumbe ni sisi wenyewe Kuna wakati akili na mawazo yetu Tunakusahau wewe tunavipa kipaumbele Sikwamba huoni haya tunayofanya si sawa Unatutazama kwa huruma Vipi nikushukuru kwa nämna gani nikufae Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang'ae Kwa maana umesema heri mtu yule Asiyekwenda katika shauri la wasio haki Bali sheria yako bwana Unitengeneze niumbie moyo safi Unitakase nikupendeze wewe Unitengeneze uniumbie moyo safi Unitakase nikupendeze wewe Bali sheria yako bwana Najua me nikiumbe dhaifu tu basi Basi angalau na mimi nikupendeze wewe Nilingane na wewe hata kwa machache tu Niwakumbushe na wengine ili wajue upo Maana kumeharibika Tunaangamia kwa kukosa maarifa Hakuna upendo ule umetufundisha Wanadamu tumebadilika tumekuwa wabaya Tumesahau kwamba upo Tumesahau wewe upo Yani kama hatuoni vile Vipi nikushukuru kwa nämna gani nikufae Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang'ae Kwa maana umesema heri mtu yule Asiyekwenda katika shauri la wasio haki Bali sheria yako bwana Unitengeneze uniumbie moyo safi Unitakase nikupendeze wewe Bali sheria yako bwana Unitengeneze uniumbie moyo safi Unitakase nikupendeze wewe Bali sheria yako bwana Vipi nikushukuru kwa nämna gani nikufae Nami ukanifanye nuru ya ulimwengu na ikang'ae Kwa maana umesema heri mtu yule Asiyekwenda katika shaur la wasio haki Bali sheria yako bwana ikang'ae #WalterChilambo #Nitakase #Ushuhuda