У нас вы можете посмотреть бесплатно Walter Chilambo - Mapenzi Ya Milele (Official Lyric Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official lyric video for “Mapenzi ya Milele” by Walter Chilambo Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • Walter Chilambo - Messiah (Official Music ... Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp Follow Walter Chilambo Instagram: / walterchilambotz YouTube: / walterchilambo Mapenzi ya Milele Lyrics Mapenzi ya milele ndio yanipendezayo Yalinipenda mbele sina fahamu nayo Sasa Amani yake tele rohoni mwangu Mimi kuwa wake na yeye kuwa wangu Mimi kuwa wake [aaah] na yeye kuwa wangu Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo Macho ya dunia tu hayajaona hivo Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo Macho ya dunia tu hayajaona hivo Ndo maana na ng’ang’ana na pendo lako la milele Aaah Nitakupenda milele nitakupenda milele Nitakupenda milele nitakupenda milele Nitakupenda milele yote yahwe Nitakupenda miele yote We ni bwana wa fadhili zangu mbele umenitangulia waziongoza njia zangu mi nisije angamia Kinywa changu kimejawa sifa zakoza Fahamu zangu umetawala peke yako Moyo wangu umebali we ni rafiki wa karibu [hufananishwi] unanipendeza wewe Mkamilifu we ni mwaminifu bwana uwe kwangu mwamba wangu bwana Mkamilifu we ni mwaminifu bwana uwe kwangu mwamba wangu bwana Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo Macho ya dunia tu hayajaona hivo Mbingu zina ng’ara juu na nchi nayo vivyo Macho ya dunia tu hayajaona hivo Mmmh Nitakupenda milele nitakupenda milele Nitakupenda milele nitakupenda milele [kama ulivyo nipenda yesu] Nitakupenda [nami nitakupenda wewe] milele Nitakupenda milele nitakupenda milele Nitakupenda milele nitakupenda milele Nitakupenda milele yote yahwe Nitakupenda milele yote #WalterChilambo #MapenziYaMilele #Ushuhuda