У нас вы можете посмотреть бесплатно Ziara nzima ya kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mwanza, Wilaya ya Magu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tuesday April 09,2018 Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, imeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2015 katika Wilaya ya Magu. Haya yamejili katika ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani uliofanywa na kamati ya Siasa ya CCM mkoa wa Mwanza hapo 08.02.2019. Kamati ya Siasa ya Mkoa iliongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Mwandu Dialo akiwa ameongozana na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza pamoja na wajumbe wa Kamati siasa ya Mkoa, alitembelea miradi tisa inayotekelezwa katika Wilaya Magu ambapo baada ya kujionea miradi hiyo kamati ililiridhishwa na thamani na ubora wa miradi hiyo kusisitiza kuwa Usimamizi wa miradi ni mzuri. Miradi iliyokaguliwa na kamati ya siasa ni Mashine ya kisasa yenye kuongeza thamani ya zao la mpunga iliyoko katika kijiji cha Nyanguge, Upanuzi wa kituo cha afya Lugeye, Shamba la BUN LUGE na Shamba kilimo ya umwagiliji kwa nia ya mirefeji la Chenge lililoko katika Kijiji cha Bundilya, Kitekeo cha maji Busulwa katika mradi mkuwa maji unatarajiwa kuwahudumia zaidi ya kaya 5000 kwa mtandao kilomita 64, Miradi mingine ni Ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule mpya ya Sekondari Buhumbi, Ujenzi wa Vyumba vya viwili vya madarasa vya A-Level na Hostel katika shule Sekondari Sukuma, Ukarabati wa mradi wa maji bomba Kijiji cha Kabila na Ujenzi wa Daraja kati ya kijiji cha Kabale na Nyasato. Dr. Dialo amesema kuwa tumefurahishwa na ushirikiano wenu Viongozi wa Chama na Serikali namna mnavyoendesha Serikali kwa mshikamano, Msigawike endeleeni kuchapa kazi kwa nguvu na akili zenu zote’ Hatujapokea malalamiko aidha kutoka kwa chama au kwa watendaji wa Serikali hii inamaanisha mko wamoja na ndiyo maana Magu inasonga mbele, Alisema Dr Dialo Mwwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza. Akizungmuzia miradi ameshauri pia Serikali Wilayani magu kujitahidi kuboresha mazingira ya wawekezaji wakubwa kwa kutatua migogoro inayojitokeza na jamii ili kuwafanya wawekezaji watimize ndoto zao za kuwekeza na sisi tuweze kutengeza ajira za wananchi wetu. Kwa upande wa wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Magu Isack Zabron ,amesema kuwa ziara ya kamati ya siasa imekuja kuimarisha utekelezaji wa ilani na kwamba maagizo na ushauri wote utazingatiwa kwa ajili ya kuboresha utendaji katika wilaya na chama