У нас вы можете посмотреть бесплатно Uchaguzi Nepal | Wananchi wa nepali wachagua waziri mkuu mpya baada ya mapinduzi ya Genz или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa Nepal wamefanya uchaguzi wa kumpata Waziri Mkuu mpya baada ya nchi hiyo kukaa kwa muda mrefu bila kiongozi wa serikali, kufuatia kuondolewa madarakani kwa Waziri Mkuu aliyekuwa madarakani kupitia vuguvugu la vijana linalojulikana kama Genz. Mapinduzi hayo yanadaiwa kulenga kuleta mabadiliko katika uongozi wa nchi hiyo kwa kusisitiza nafasi ya vijana katika siasa pamoja na kuondoa utawala unaotuhumiwa kuwa na vitendo vya rushwa na ufisadi. Fuatilia uchambuzi huu ili kufahamu zaidi kuhusu Waziri Mkuu huyo mpya wa Nepal, malengo ya uongozi wake pamoja na mwelekeo mpya wa kisiasa unaotarajiwa nchini humo.